Rache (Picha: dartalk.com) |
Intro
Huuuuuuuuu, haaaaa, haaaaa haa
Ubeti 1 x 2
Upepo wangu wakupuliza wewe, (Mwenye joto kali)
Usijaribu kuvaa sweta (utaongeza ukali)
Nachotaka mi ni kuwa na wewe (Naomba unielewe)
Wuuuuu u u baby!
Kiitikio
Moyo unaniuma mpaka nasema, mpaka najihisi sio mzima
Nafsi inaniuma siishi kuhema, mpaka najihisi sio mzima,
Unaniumiza (haaaa) unaniliza (Haaa)
Unaniumiza mpaka najihisi kwama sio mzima
Ona umeng’oa ng’oa ng’oa (soli, soli ya kiatu) x2
Ona umekimbia umekichoma aaaah umekichoma x2
Ona hukuwa hivyo umekichoma aaaaah umekichoma
Ona umekimbia umekichoma aaaaah!
Aiye yeiye yeiye yeiyeeee x 4
Yeiye yeiye yeeeeiye
Ubeti 2
Umeniachia vidonda moyoni, ( vitapona lini)
Niwe tabibu mwenye tiba yakini, (kwa yangu afueni,)
Nachotaka mimi ni kuwa na wewe (naomba unielewe)
Wuuu hu baby!
kibwagizo
Umeniachia vidonda moyoni, ( vitapona lini)
Niwe tabibu mwenye tiba yakini, (kwa yangu afueni,)
Nachotaka mimi ni kuwa na wewe (naomba unielewe)
Wuuu hu baby!
kiitikio
Moyo unaniuma mpaka nasema, mpaka najihisi sio mzima
Nafsi inaniuma siishi kuhema, mpaka najihisi sio mzima,
Unaniumiza (haaaa) unaniliza (Haaa)
Unaniumiza mpaka najihisi kwama sio mzima
Ona umeng’oa ng’oa ng’oa (soli, soli ya kiatu) x2
Ona umekimbia umekichoma aaaah umekichoma x2
Ona hukuwa hivyo umekichoma aaaaah umekichoma
Ona umekimbia umekichoma aaaaah!
Aiye yeiye yeiye yeiyeeee x 4
Yeiye yeiye yeeeeiye
No comments:
Post a Comment